nestor timanywa

  1. Papaa Mobimba

    TANZIA: Askofu Mstaafu jimbo Katoliki Bukoba, Nestor Timanywa afariki dunia

    TANZIA: Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Mhashamu Nestory Timanywa amefariki dunia leo asubuhi. Pole nyingi kwa Askofu wa sasa wa Jimbo la Bukoba, Desiderius Rwoma, waumini wa jimbo hilo na wote mlioguswa na msiba huu. Mungu ampe pumziko la amani Baba Askofu Timanywa. Marehemu...
Top