@mwifwa

  1. Mjina Mrefu

    Tupambane ili angalau dust bin zetu ziwe na taka nzuri kama maganda ya mayai na mifupa ya nyama na siyo mavitu ya ajabu.

    Wakuu, Hali ni mbaya lakini inabidi tupambane. Tupambane to the extent kwamba, dustbin zetu nyumbani ziwe na hali ya kuvutia. Kuna watu nyumbani dustbin zao zinatisha wala hazivutii. Unakuta dust bin ya mtu ina mavitu ya ajabu ajabu ya hadi inatia fora. Dust bin zetu hureflect hali yetu kwa...
Top