mr rocky

  1. Mentor

    Watoto 100...!

    Watoto 100 2016, Januari 5 Jumatano “We mzee unatania!” Yalikuwa ni maneno yangu ya kwanza baada ya kumsikiliza mzee Izadin. “Mimi nilipokuwa kijana niliwahi kumuomba Mungu kuwa nitakapokuja kuoa basi anijaalie watoto 100.” Ndiyo sentensi aliyokuwa ameitamka mwanzoni kwenye maongezi yetu...