mkufunzi wa chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tamuuuuu

    UDOM: Wanafunzi wamkamata mkufunzi anayewapa 'Sup' ili afanye nao ngono

    Wanafunzi wa UDOM wamemkamata mkufunzi anayewapa supplementary ili apate kigezo cha kuwatafuna. Ushahidi wa kila kitu hadharani. Si UDOM tu hata vyuo vingine ipo hivyo. Hata mimi nimempoteza mchumba wangu anayesoma DUCE mwaka huu ktk mazingira haya. Sijajua alipigwa sup ama alikubaliana naye...
  2. 44mg44

    Aliesoma BSC with education anaweza akawa mkufunzi wa chuo Cha ualim ngaz ya diploma?

    Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda, maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC unaweza ukawa tutor?
  3. B

    Msaada: Ni vigezo vipi vinahitajika ili kuwa Mkufunzi wa Chuo?

    Naomba msaada wa mawazo ndugu zangu wana JF. Mawazo yenu yana faida kubwa sana. Ni mara ya pili naandika uzi unaofanana na huu lakini mara ya kwanza niliambulia patupu. Sikupata mchango wenu kabisa. Niliumia kidogo lakini nina desturi ya kutokukata tamaa. Nakwenda moja kwa moja kwenye mada...
Back
Top Bottom