mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Ndoa ya DUBE na Azam FC sheikh ni TFF, Hana mkataba?

    Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali. Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
  2. T

    Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
  3. Kv-london

    Ushauri wenu: Nataka kujenga frame ya biashara kwa mkataba

    Habar wakuu huku ndani, Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU. Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
  4. J

    Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
  5. D

    Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200

    Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards. Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG jengo hili litabeba watu 200 kutoka nje ya nchi(international pax)kwa mkupuo...
  6. R

    DPW halazimiki kuajiri wazawa wala kurithi wafanyakazi; watu wa TPA someni sheria na mkataba kabla hamjaacha kazi

    TPA wanakwepa gaharama za kuishatakiwa lakini kiukweli hakunasehemu DP World anakwenda kuajiri unqualified staffs kwa mujibu wa masharti yake. Labda kama wanakwenda kuwa vibarua kwenye kampuni hii. Wafanyakazi wa bandari wanachotakiwa kufanya ni kusoma sheria siyo kupata elimu. Matangazo kwa...
  7. M

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba UTUMISHI, inakuwa ngumu kupata ajira za kudumu hata baada ya kufanya usahili na kufaulu mara nyingi?

    Kwanini baada ya kupata ajira za mkataba kupitia utumishi wa umma, inakuwa ngumu sana kupata ajira za kudumu hata baada ya kufaulu katika usaili mara nyingi? Je, kuna sababu za kipekee au mifumo inayozuia mchakato huu wa kuajiriwa kwa njia ya kudumu?
  8. DR Mambo Jambo

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga. baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa...
  9. BARD AI

    Marioo afunguliwa kesi ya Madai ya Tsh. Milioni 550 kwa kukiuka Mkataba wa Tamasha

    MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu. Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya...
  10. R

    Kijana mkazi wa Dar es Salaam anatafuta bajaji ya mkataba

    Bwana mdogo anatafuta bajaji ya mkataba. Ni mkazi wa Dar. Nimefikisha hitaji lake Jamiiforums kama platform sahihi. Wasifu wake: Ameshawahi kuchukua bajaji za mkataba 2 na kufanikisha kumaliza kikamilifu mkataba. Licha ya kutafuta bajaji ya mkataba ana biashara nyingine pembeni. Karibuni wadau.
  11. Mr Chromium

    Kwanini USA wanaiharakisha Tanzania kusaini mkataba wa LNG???

    Najiuliza ni nini wanataka wafiche?? Kwanini wasiache nchi iupitie na kuuelewa vizuri?? Tunajua hizi nchi hazijuagi biashara ila zinajua kuiba, kuchochea migogoro na kudhulumu au kunyonyaa! Kwa wasio fahamu mradi wa LNG ni mradi wa gesi iliyogunduliwa Lindi, Mtwara nchini Tanzania .Serikali ya...
  12. Stephano Mgendanyi

    Kihenzile aitaka TAA kuvunja Mkataba na Mkandarasi anayejenga kiwanja cha Ndege Ruvuma

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na Mkandarasi huyo kushindwa kukamilisha jengo hilo kwa wakati. Naibu Waziri David Mwakiposa Kihenzile...
  13. BARD AI

    Tanzania yasaini mkataba wa Tsh. Bilioni 988 na Benki ya Dunia kuboresha miundombinu ya Dar

    Serikali ya Tanzania na Benki ya Dunia zimesaini mkataba wenye thamani ya Euro milioni 361.1 (sawa na takribani shilingi bilioni 988.093) kwa ajili ya kutekeleza Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuendeleza Miundombinu Dar es Salaam {Dar Es Salaam Metropolitan Development Project Phase II (DMDP II)...
  14. Alwaz

    Misri watishia kuvunja mkataba wa Camp David iwapo Israel itashambulia Rafah

    Baada ya ukimya wa muda mrefu hatimae Misri imetoa tamko kwamba iwapo Israel itashambulia eneo la Rafah basi itafuta mkataba wake wa muda mrefu uliotiwa saini baina yao. Mkataba huo uliotiwa saini mwaka 1979 baina ya rais Anwar Saadat wa Misri na waziri mkuu wa Israel wa wakati huo Menakhen...
  15. K

    Je, DP WORLD wameishaanza kazi?

    Ninakumbuka Serikali ilisaini mkataba na DP WORLD kuendesha baadhi ya magati katika Bandari ya Dar es Salaam. Ninauliza, Je wameishaanza kazi?. Je kama wameanza kazi Serikali imepata mapato kiasi gani tangu waanze kazi?. Je ni maboresho gani gani wamefanya tangu waanze kazi?.
  16. Halmashauri ya Jiji DSM

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar, anawatangazia uwepo wa ajira ya mkataba kwa nafasi ya Meneja Msimamizi wa Miradi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia uwepo wa ajira ya mkataba kwa nafasi ya Meneja Msimamizi wa Miradi
  17. Papaa Mobimba

    Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  18. D

    Kanda ya Ziwa tusikilizwe kuhusu uwanja wa ndege. Haivumiliki tena

    Leo nimemsikiliza Musukuma akizungumzia kuchelewesha kuhusu jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza na miundo mbinu yake kuufanya uwe wa kimataifa. Hali hii kwa sasa inatoa picha kama alivyosema Msukuma dharau kwa kanda ya ziwa haijalishi Makonda ni Mwenezi au Dotto ni Naibu Waziri Mkuu,kisiasa...
Back
Top Bottom