• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mixedfrank

 1. MixedFrank

  Kwanini Huwa Kuna Huyo Mtu Anaejaribu Kukusaidia Kuitambua Fursa?

  Hello wana JF nadhani mko sawa. Jana nimefanya kitu cha ajabu ambacho kwa njia fulani kimeniokoa. Nilikaa nikajiuliza maswali kadhaa na nilipo pata majibu kwanini nilikuwa naweka nguvu na jitihada nyingi kwenye jambo lisilokuwa na faida kwangu, nikatambua kuwa nilibadili muelekeo..na inatokea...
 2. MixedFrank

  Kuanzisha Biashara Bila Mtaji! Je inawezekana Kimatendo?

  Hello humu, natumai mko wazima. Kuna kipindi cha nyuma niliweka thread humu kuhusu "Biashara Mbili Unazoweza Anzisha Bila Mtaji"...Kipindi hicho natumia ID ya TechTania Kuna watu walielewa ila wengine wakanambia kuwa haiwezekani...Na leo ntajaribu kuelezea kitu kile kile ila kwa mfano hai...
 3. MixedFrank

  Affiliate Marketing Ni Nini?: Njia ninayotumia kutengenza pesa mtandaoni mbali na dropshipping

  Moja ya njia/ namna ya kutengeneza pesa pesa mtandaoni nnaotumia ni Affiliate Marketing, na ina nguvu kuliko mtu anavyoweza kufikiri. Sio kila mtu anaweza kumudu kuwa na store, na najua wengi wameanza kutafuta riziki ao kwa kuanza kutengeneza blog ili baadae waje waweke maangazo ya Adsense...
 4. MixedFrank

  Kwanini niliacha Kuwasikiliza Motivational Speakers

  Hello wana JF! Leo nimetaka kugusia kwanini sipendi kusikia habari za motivational speakers tukija kwenye maswala ya biashara. Mimi ni blogger na nina miliki dropshpping store tatu mtandaoni na hizi ndizo source kubwa za income kwangu, soko linazidi kupanuka na ninamshukuru Mungu kwa...
 5. MixedFrank

  FunLES | Jifunze Chochote: Yote Unayohitaji Kufahamu Kuhusu Hii Platform(Offical Thread)

  Hello wana JF, baada ya siku kadhaa za kuwa na majukumu ya apa na pale, nimeona niandae huu uzi, uwe maalumu kwa ajili ya FunLES….nitajaribu kuelezea kila kitu kiudani na yale yote mtakayohitaji kufahamu kabla ya kujiunga na tovuti usika kama wakufunzi au team members na hii ndo itakuwa thread...
 6. MixedFrank

  Wazo Jipya la Biashara Litakalo Badili Maisha ya Vijana Wakitanzania

  Hello, Kama kichwa cha thread kinavyosema, nimeona ni dedicate mda wangu wa ziada kusaidia watanzania wapya...na nadhan naweza fanya hivyo kwa kuwafundisha kile ninacho kijua vyema....E-Commerce/ Dropshipping. Actually nimekuwa kwenye hii kitu huu ni mwaka wa tatu sasa na walau naweza sema mimi...
Top