misukosuko ndoa

  1. M

    Mwanamke aweza kuwa tiba au sumu ktk maisha haya enyi ndugu!

    Tupo ktk zama ambazo wanawake weng hujipamba kwa uzuri wao, mapambo yao kwa kutumia mali zao, na wengine huvaa stara aidha kamili au isiyokamili ili kuwadanganya na kuwavutia wamaume kuwa nao pia wana sifa za kuwa wake kwa kuwa wanajiheshimu. Lakin ukweli ni kwamba wanaume weng wanaojitambua...
Top Bottom