miss natafuta

  1. Beesmom

    Hivi mtu akifariki humu mnajuaje?

    Sijaanza leo kujiuliza, hivi kwa mfano MTU akapotea ghafla katika utoaji thread,uchangiaji wa mada, tunawezaje kutambua taarifa zake. Maana sijawahi ona watu kushtuka humu ndani MTU anapopotea ghafla afu mazima. Mi naamini hata kama hatufahamiani lakini kuuliziana hali ni jambo jema na kiutu...
  2. Prince Mhando

    Mahusiano yangu yapo kwenye mgogoro, msaada unahitajika

    Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run. Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
  3. Prince Mhando

    Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

    Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke aliyetoka ama anayetoka kimapenzi na mwanaume mwingine Itambulike kuwa lengo la uzi huu sio kuumbua bali...
  4. E

    Swali kwa ma player na watu watu wagumu. kama wewe sio mgumu au player usisome

    Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!. Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa...
  5. presider

    Mechanical Technician

    Mimi n kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 29. Nlisoma Mechanical Engineering DIT mwaka 2010-2013. Nnatafuta company yoyote ya kufanya nayo kaz. Nna uwezo wa kufnya kaz kwenye Migodin na Company za Ujenzi kwenye Catpillar machine,Generator,Air compressor etc. Experience ni Miaka 2...
  6. H

    Gauni la harusi

    Wadau wazima nipo online na chagua design za magauni ya harusi ni chagulieni kati ya haya lipi zuri
Back
Top Bottom