mikunde

  1. kilimobiznet

    Pata Mbegu bora za Mbaazi, Choroko, Dengu na ushauri wa Kilimo Biashara

    Habari wadau, Salam kutoka Kilimo Business na Sekretarieti ya Chama cha wakulima wahitimu Tanzania (Tanzania Graduate Farmers Association www.graduatefarmers.co.tz). Kwa niaba ya sekretatiat ya TGFA na Kilimo Business tunapenda kuwatangazia kuwa Kilimo Business and Associates kwa Kushirikiana...
  2. Sabayi

    Darasa huru ushauri elekezi wa Kilimo cha Mbaazi, dengu, Kunde na Choroko

    Habari Wakuu Nilipitia maonesho ya nane nane mwaka huu na moja ya kilimo kilichonivutia ni kilimo cha Dengu na Conflower/Brocolli. Mazao haya yana soko kubwa sana nje ya nchi hasa India kwa Dengu na ulaya/India kwa Conflower. Kwa wale wazee wa kanda ya kati kuanzia Dodoma,Singida,Tabora hadi...