mhasibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Mkurugenzi wa TALGWU, Mhasibu na Mkuu wa Mikopo wafikishwa Mahakamani kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 133.5

    DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
  2. Miss Zomboko

    Mhasibu wa Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kwa Ubadhirifu

    Kesi Namba Ecc 37709/2023 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni ambapo mshtakiwa Bw. EZEKIEL SAGITII - Mhasibu katika Shirika la Wakala wa Taifa la Utafiti na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA), amehukumiwa kulipa faini ya shilingi milioni tatu (3,000,000/=) au kutumikia...
  3. Jamii Opportunities

    Mhasibu Hospitali ya Mt. Walburga Nyangao Januari, 2024

    TANGAZO LA KAZI-LINARUDIWA Hospitali ya Mt. Walburga Nyangao iliyoko Jimbo Katoliki la Lindi na Halmashauri ya Wilaya ya Mtama-Lindi inatangaza nafasi ya kazi kama ifuatavyo; Nafasi: Mhasibu II - Nafasi 1 SIFA - Wenye Shahada ya Uhasibu inayotolewa na Chuo/Taasisi ya Uhasibu inayotambulika na...
  4. E

    Tangazo la nafasi ya kazi Mhasibu Msaidizi (1)

    SIFA 1. Awe mkazi wa Dar es Salaam, 2. Awe na stashahada ya fani ya uhasibu, 3. Awe na uzoefu wa kufanya kazi katika kampuni binafsi kwa angalau miaka 2, 4. Awe kijana wa kiume (Nafahii hii ni kwa kijana wa kiume pekee) Naomba tutumie CV yako kwa baruapepe; eitcbengineering@gmail.com kabla...
  5. D

    Mhasibu Mpya (NEW CIWAYE WORKSHOP)

    Awe na elimu ya diploma Awe na uzoefu wa ajira wa miezi 24 katika fani uhasibu Awe na makazi ya kudumu Dar es salaam
  6. BARD AI

    Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji Dar afikishwa Mahakamani kwa kutakatisha Tsh. Bilioni 8.9

    Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Alinanuswe Mwasasumbe (60) amefikishwa katika Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kughushi nyaraka, matumizi mabaya ya madaraka, kutakatisha fedha na kuisababishia hasara Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya...
  7. BARD AI

    Aliyekuwa Mhasibu wa Serikali ashtakiwa kwa makosa 206 ya Uhujumu Uchumi

    Eliud Jones Kijalo aliyekuwa Mhasibu wa Mfuko wa Maendeleo ya Utalii ambaye amefunguliwa mashtaka hayo pamoja na mengine ya Kughushi, Matumizi Mabaya ya Mamlaka, Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha ulioisababishia hasara ya Tsh. Bilioni 4.03. Mahakama imeelezwa kuwa kati ya Julai Mosi, 2016 na Julai...
  8. BARD AI

    Mhasibu wa Chuo cha Nyuki Tabora ashtakiwa kwa makosa 9 ikiwemo Uhujumu Uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambambana na Rushwa (TAKUKURU) imemfungulia kesi Leonard Wilson Chishomi katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora mkoani humo kwa makosa ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kinyume na Sheria. Makosa mengine ni Ubadhirifu na Ufujaji wa Mali ya Umma kinyume na...
  9. K

    Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Gazeti la kila siku la Nipashe la leo limekuja na habari nzito inayoelezea namna ya mhasibu mkuu wa bank moja hapa nchini alivyotekwa na watu wasiojulikana kupigwa ,kuteswa kisha kuchomwa moto kwa petrol porini. ========= JESHI la Polisi mkoani Pwani limesema mhasibu wa benki ya BOA tawi la...
  10. MakinikiA

    Huyu mhasibu hakuangalia vizuri zile movie zinazofundisha

    MHASIBU wa Kampuni ya Your Home Choice ya Keko, Dar es Salaam, Deodatus Luhela (35), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kuwa ametekwa na kujeruhiwa na majambazi kisha kuporwa Sh. milioni 60 za mwajiri wake. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  11. JanguKamaJangu

    Mhasibu shule ya Southern Highland ahukumiwa miaka 76 jela kwa kughushi risiti, kuiba

    Bernard Mnyilenda (51) amehukumiwa kifungo cha miaka 76 jela baada ya kukutwa na hatia kwa makosa 22 ya kugushi kitabu cha risiti na kukitumia kupokea malipo ya ada katika Shule ya Southern Highland Mkoani Iringa. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa imeeleza kuwa Mnyilenda ambaye alikuwa...
  12. BARD AI

    Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

    Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97. Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza...
  13. marandu2010

    natafuta mhasibu kutoka inland container depot(ICD)

    Habari ndugu zangu,naomba nipate kuunganishwa na mhasibu wa bandari kavu (inland container depot)kwa kifupi ICD,nina hitaji msaada wa mawazo na uzoefu,mm nimesoma uhasibu ngazi ya bachelor degree,namba yangu 0712705389 nipo dsm,nitashukuru sana.
  14. Lady Whistledown

    Mhasibu wa Zamani wa Wizara ya Mambo ya Ndani ahukumiwa kwa Ubadhirifu

    Mhasibu wa zamani Wizara ya Mambo ya Ndani Christina Kaale, amehukumiwa kulipa faini ya sh. Milioni nane ama kutumikia kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia katika mashtaka manne yaliyokuwa yakiwakabili likiwemo la ubadhirifu wa sh milioni 15.2. Hukumu hiyo imesomwa...
  15. kabila01

    Nimemtongoza Mhasibu hapa Ofisini bila kujua, tumekuja kukutana Lodge

    Habari wana JF Niliingia katika mtandao wa Badoo kwa kutumia jina na picha fake. Nika search girls between the age of 20 to 35 nearby. Akatokea dada mmoja mzuri kumbe ni mhasibu wa hapa hapa ofisini naye katumia Jina na picha fake. Tukachati tukatongozana akaingia line. Siku nikiwa ofisin saa...
  16. B

    Natafuta Mhasibu wa kuniandalia Zero Return

    Kampuni haijawahi kufanya kazi. Imefunguliwa mwaka 2019. 0712464478
  17. Analogia Malenga

    TAKUKURU Mwanza yamtia mbaroni aliyekuwa mhasibu wa bandari Kigoma Madaraka Robert, anayetuhumiwa kwa makosa ya rushwa

    Ndugu Waandishi wa Habari, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza mnamo tarehe 19/04/2021 imemkamata aliyekuwa Mhasibu wa Mamlaka ya Bandari Kigoma Bw. Madaraka Robert Madaraka ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya Rushwa, Uhujumu Uchumi na Ukwepaji Kodi wa kiasi cha Sh...
  18. M

    TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo. UPDATES: MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
  19. Money Penny

    Usiombe ukatolewa out na Mwanaume Mhasibu

    Jamani wahasibu wenzangu mnafeli wapi? Nipo na mrembo kawe Leo, mara akapita Kaka mmoja rafkiangu akasonya. Nikamwuliza shida nini, jibu nililojibiwa sikuamini Mrembo: huyu Kaka bwana alinitoa out weekend, nikaenda nae huko Kwa hotel, tumeongea vizuri, tumekuwa, tumekunywa, tumefurahi...
Back
Top Bottom