mbunge vunjo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Informer

    TANZIA Mbunge wa zamani wa Vunjo afariki dunia

    Aliyekuwa mbunge wa vunjo mwaka 2000 - 2005 Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) amefariki dunia leo alfajiri Kilema Hospital alipokuwa akipata matibabu. Pia alipata kuwa Diwani wa Mwika Kaskazini
Top Bottom