• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mbeya earthquake

  1. K

    Tetemeko la Ardhi laitikisa Mbeya na Rukwa. Hali ya taharuki yaripotiwa

    Kumetokea na tetemeko la ardhi hapa mjini Mbeya kwa mda kama wa sekunde tano mpaka kumi na kuacha taharuki katika maneo ya hapa mjini. Baadhi ya wananchi wameonekana wakikimbia kimbia huku na kule kutoka katika majengo makubwa hapa maeneo ya Mwanjelwa ili kuokoa maisha yao. Mungu atulinde...
Top