mazaga zaga

  1. RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET

    Sijapata kampuni sahihi ya kununua traffic, kama kuna yoyote anafahamu naomba anisaidie

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni blogger ambaye nilikuwa natafuta traffic au kwa Kiswahili watazamaji wa blog yangu kwa kutumia Facebook, ila kutokana na hali kuwa ngumu nikabidi nibadili mbinu. Sasa toka nimebadili mbinu na kuanza kununua traffic naambulia maroboti tu...
Top Bottom