mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi

  1. Titicomb

    Mwalimu mtuhumiwa wa mauaji ya mwanafunzi hayuko sawa afya ya ..

    Nimeshitushwa na muonekano wa mwalimu mmoja kati ya wawili wanao tuhumiwa kosa la mauaji ya mwanafunzi mkoani kagera kukusuduia . Katika picha akiwa eneo la mahakama anaoneka akitabasamu wakati mwalimu mwenzie akionekana kuficha sura yake. Kitendo cha mwenzie kuficha sura inaonesha anajisikia...
Top Bottom