• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

matibabu nafuu

  1. eliesikia

    Viongozi kujifanya wanalipia gharama za matibabu kwa mgonjwa mmoja badala yakujikita kuweka misingi imara ya huduma ya afya ni HADAA

    Hii naweza kuiita HADAA za kisiasa. Hii ni HADAA haswa kwa wananchi tuliowachagua. Viongozi wamekuwa na tabia hii ya kujifanya ni watu wema sana kuchagua baadhi ya wagonjwa na kulipia gharama za matibabu au kuhakikisha wanasaidiwa katika hospitali zetu za rufaa. Inasikitisha kwa sababu unakuta...
Top