• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

massheleblog

  1. MASSHELE

    SERIKALI , BAKITA, TATAKI TUAMKE HUU NI WAKATI WETU SASA

    SERIKALI, BAKITA, TATAKI TUAMKE SASA KUMEKUCHA Hujambo mpenzi ndugu msomaji wangu karibu katika makala Nyingine, yenye lengo lakutupa mzinduko. Lugha ya Kiswahili kwa kwa nchi za upwa Wa Afrika mashariki ni bidhaa ambayo kama itatumika vizuri inaweza kubadili kabisa maendeleo ya kiuchumi na...
Top