#mashinezakushoneamifukoyaunga


  1. Braza POPO

    Pata Vifungashio vya kuwekea UNGA WA MAHINDI, MCHELE na VYAKULA VYA KUKU

    WATU SMART PACKAGING Wanakusogezea huduma ya kuprint mifuko ya kuwekea UNGA wa mahindi pia hata unga wa LISHE. Wanazo size mbalimbali ya vifungashio, design za mifuko zitafanyika kabla ya kuprint mifuko yako. Pia WATU SMART PACKAGING wanazo mashine za kushonea na kufunga mifuko ya kuwekea UNGA...
Top