mashana jr

  1. princemikazo

    Swali la Kizushi kwa Machalii.

    O..!,,Oi Inakuaje Wakubwa.?Ok ngoja niende moja kwa moja kwenye swali...Et Wanaume wenzangu Ukimsalimia dem/Madem Na unaona kabisa wamekusikia na wamekausha..Kuwa tu Mkweli Rohoni huwa unaongea vitu gani??? @ChaliiYaKijengeJuu.
Top Bottom