malkia wa tembo

  1. Donatila

    Yang Feng Glan 'Malkia wa Tembo' apigwa kalenda kortini

    Ikiwamo kufanya biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13 inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan 'Malkia wa Tembo' hadi Jumanne ijayo baada ya shahidi kuugua. Jana kesi hiyo ilipangwa kuendelea kusikilizwa ushahidi wa upande wa Jamhuri mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma...
  2. chinchilla coat

    Serikali yashindwa kumsomea mashtaka 'malkia wa meno ya tembo'

    Kesi dhidi ya mwanamke Mchina ambaye anatuhumiwa kuhusika katika ulanguzi wa pembe za ndovu kutoka Tanzania imeahirishwa tena. Kesi hiyo dhidi ya Yang Fenglan, maarufu kama ‘Malkia wa Pembe’ imeahirishwa hadi tarehe 6 Juni. Upande wa mashtaka uliambia mahakama kwamba faili ya kesi hiyo bado...
Top