magreth kobelo gonzaga


  1. The August

    Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    Habari wakuu? Jana kwenye mitandao niliona Hati ya kukamatwa kwa mwanamama Magreth kobelo Gonzaga. Tuhuma zake ni utakatishaji wa fedha. Wakati huu namuona DG wa PCCB akieleza pia kutafutwa kwa huyu Mama. Najua hapa JF huwa hapaharibiki jambo, tushirikishane kumjua ni nani hasa huyu mama...
Top