lizaboni

 1. W

  UKAWA wa Uganda watoa uzushi kwamba wamarekani wanaondolewa Uganda

  Habari wadau! Katika hali ya kusikitisha upinzani nchini uganda (ukawa) wametoa propaganda zinazoonyesha barua kutoka ubalozi wa marekani ukiwataka wamarekani na rafiki zao kuondoka mara moja uganda sababu ya fujo japo ubalozi wa marekani umekanusha habari hizo. Huu ni muendelezo wa wafuasi wa...
 2. W

  Mbowe, Seif na UKAWA kwanini mmekubali haya?

  Habari wana jamiiforums, Ni muda umepita, nilikuwa member humu ikiwa JamboForums na baadae Jamiiforums nakumbuka mwanzoni mwaka 2006 tulimpokea Ndg.Freeman A.Mbowe tulileta mijadala kuntu kuleta fikra mpya japo watu walijadili bila kuweka itikadi za vyama,ilikuwa ni mawazo ya kizalendo tu...
 3. figganigga

  Makampuni 210 ya Clearing & Forwarding yasimamishwa kutoa huduma na TPA

  Makampuni yafuatayo ya kupitisha mizigo bandarini (Clearing and Forwarding Agents) yamezuiwa kufanya kazi katika bandari zote zinazomilikiwa na TPA pamoja na washirika wake (ICS’s, CF’s na TICTS) tangu 9 Februari 2016. Uamuzi huo umechukuliwa kwa sababu ya kushindwa kuwasilisha vielelezo vya...
 4. mcubic

  Lowassa apewe CHADEMA aiongoze kuelekea 2020

  Na Lula wa Ndali Mwananzela NILIPOANDIKA pendekezo hili wakati wa kampeni bila ya shaka watu walifikiria natupa dongo la kisiasa tu kama sehemu ya Operesheni ya kukataa mabadiliko feki. Nina uhakika wapo waliodhani kuwa nilitoa pendekezo la Lowassa kuiongoza Chadema wakati ule kama ngumi ya...
 5. mcubic

  Zitto aishukia BOT juu ya faini kwa Stanbic bank

  Benki Kuu imeitoza Benki ya Stanbic faini ya tshs 3bn kufuatia kuhusika kwake na sakata la ‪#‎Hatifungani‬ ya tshs 1.3trn. ( Kwa mujibu wa zitto faini hii ni kidogo kulingana na kosa walilofanya ) Hata hivyo mwaka umekatika Benki Kuu haiajaueleza umma hatua gani ilichukua dhidi ya Benki hiyo ya...
 6. mcubic

  Zitto: Iundwe Serikali ya mpito ya watalaamu (Technocratic Government) kama suluhu Zanzibar

  RAIS John Magufuli ameshauriwa kuchukua uamuzi mgumu wenye kuibua muafaka wa kudumu kwa mgogoro wa kisiasa Zanzibar, bila kujali uamuzi huo utawafurahisha wengi ama la, uamuzi utakaohusisha kusimamisha Katiba ya Zanzibar na kuunda serikali ya mpito. Akizungumza na Raia Mwema baada ya mgombea...
 7. mcubic

  Magufuli akianza "kusitasita" atakwama

  UKITAKA kuwafukuza nyani watoke kwenye shamba lako fanya hivyo bila kuangaliana nao usoni. Huku kumkoma nyani giledi kunamtaka mtu kutokumuangalia nyani na kudhani ni binamu yake. Ukianza kumfukuza nyani halafu ukamuangalia usoni utaanza kuona haya na huruma. Utaona haya kwa sababu utaona kama...