living for now

  1. Mjasiriamali M

    Nafasi za Kujitolea For 2 Months Then Kazi Rasmi (Online Article Writing (Publishing)and Data Entry)

    Habari za Leo wana JF. Mimi ni Mjasiriamali ambaye natumia Muda wangu mwingi kwenye Shughuli za Mtandaoni. Nna zaidi ya Miaka 4 sasa Nimekuwa Nikifanya hichi nnachokifanya, Namshukuru Mungu Life si Baya. Nna Plan ya kufanya mambo kama matatu tofauti kuhusiana na Issues za Online, Napenda...
  2. Mjasiriamali M

    Mtaalam wa Wordprss, Nahitaji Huduma yako

    Habari za leo wakuu, katika pitapita zangu nimeamua kununua hosting ya site yangu, natumia wordpress, kuna template nimenunua ila inanipa shida kuwa extracted mpaka kuwa installed. kama wewe ni mjuzi wa hili pls help, nicheki katika 0752 98 13 80 au 0719 44 72 04. Tuone tunasaidiana vp!