• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

lazy designer

 1. Lazy Designer

  Kwa Bloggers: Premium Templates/ Themes For Blogger/ WordPress

  Salaam. Niende straight to the point. Kwa bloggers/website owners wanaohitaji premium themes/templates kwa ajili ya blog/website zao zinazotumia CMS (Content Management System) ya Blogger au Wordpress; Tuwasiliane. Bei(Per Template) : • Blogger Templates - Tsh. 15,000/= • Wordpress...
 2. Prince Mhando

  Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

  Miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa na tabia ya kwenda bichi, haswa ile beach ya msasani kupitia pale chole au kwenye kituo maarufu kinachojulikana kwa jina la Macho {kutokana na hospitali maarufu ya macho ya CCBRT}. katika maisha yangu hakuna kitu nincho kipenda sana kama kuogelea japo nimewahi...
 3. Lazy Designer

  Kwa mara ya mwisho : Huduma zote za graphic design

  Salam. Hii haitokuwa nyuzi ya kwanza humu jukwaani kuhusiana na graphic design ila itakuwa ya kwanza ya aina yake maana nimejitahidi kuelezea mambo yote muhimu. Mimi ni Graphic Designer na ninatoa karibia huduma zote za Graphic Design kupitia jina la Lazy Designer. Madhumuni ya kuandaa huu uzi...
 4. Lazy Designer

  Mimi mgeni, naomba mnikaribishe

  Kwa wale wote mlio husika ku... Mhh, Salam kwanza. Habari JF! Mgeni hapa. Naombeni ushirikiano. Baada ya salamu, kwa wale wote mliohusika ku... Nevermind. Siku njema.
Top