#landcruiser


  1. T

    Naona itakuwa ngumu kununua gari la ndoto yangu, Land Cruiser Prado! Je TZS 47 Million itatosha kununua gari la aina gani kama hilo?

    Habari wakuu, Nimejikusanya muda sasa kuweza kumiliki gari la ndoto zangu. Tatizo ni budget yangu kwani nimefuatilia kuhusu my dream car naona mfuko haujajaa linapokuja suala la TRA. Je, waweza nishauri gari gani linaloweza kuwa; - Economy, - Confortable, - Attractive, - Unique, - Stand out on...
Top