lake tanganyika

  1. barafu

    Rais Kabila: Mizigo yote ya DRC itapitia Bandari ya Dar. Tulisitisha sababu ya urasimu na upotevu

    Ujumbe wa DRC na Tanzania ktk meza ya mazungumzo Rais Kabila akimpa mwenyeji wake zawadi ya kinyango Ikulu-Dsm Rais Joseph Kabange Kabila amekuwa na mazungumzo na Rais Magufuli kabla ya kukutana na waandishi wa habari Ikulu Dsm leo.Katika mambo waliyoongea na kuwashirikisha waandishi wa...