kwenye

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. S

  Rais Samia maliza kazi ipapatue Zanzibar kwenye makucha ya mkoloni mweusi

  Rais Samia huna kazi inayokutegemea kama kuipapatua Zanzibar kutoka kwa Mkoloni Mweusi kisha waachie zigo lao wahangaike nalo. Kama unavyosema wanakuzunguuka basi ujue lisemwalo lipo na kama halipo linjiani linakuja. Hii ni Golden chance na imetokea kama kudra na rehma kwa waZanzibar cha...
 2. S

  Mwanasaikolojia: Dr. Bashiru asaidiwe atoke kwenye sonona. Na Polepole asaidiwe atoke kwenye rejection

  Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa. Kwa upande mwingine Mwanasaikolojia huyo amesema kelele za Polepole dhidi ya serikali ya sasa zinasababishwa na...
 3. X wangu

  Ukiingia kwenye Mahusiano na Mmasai, Sahau Kuachika/Kumuacha

  Wamasai, hii ndio jamii pekee ambayo ukiingia nayo kwenye mahusiano ya kimapenzi, haina historia ya kuvunja mahusiano Kwa mmasai ni kufa na kuzikana
 4. Meneja Wa Makampuni

  Tukiendelea kuwatumia wana CCM kwenye miradi watatukwamisha sana

  Mimi naona tungeendelea kuwatumia ma professors wa vyuo vikuu hawana tamaa na pesa kabisa wanaridhika wangefanya kazi vizuri sana, WanaCCM wenzetu wangeendelea kukaa tu bungeni huko hawawezi kutuibia. Lakini kuendelea kuwatumia wana CCM wenzetu kutatukwamisha sana sana. Yaani mimi nafikiria...
 5. GENTAMYCINE

  Saed Kubenea kwenye hili la Kumshtaki Paul Makonda wala usituchoshe 'Werevu' kwani 'Unafiki' wako unajulikana na wala haujifichi

  Ndiyo maana wengine mnapigwa Kofi na Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi Maishani mwenu ila hamtaki Kujifunza na hata 'Kutubu' kwa Muumba ili awasamehe. Ni Matumaini yangu makubwa kuwa Hela mlizohongwa ili mbadilishe Maamuzi ya Kisutu zitawafanya mkajitibie 'Magonjwa' yenu mbalimbali ukiwemo ule wa...
 6. Sky Eclat

  Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

  Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
 7. W

  Nani ataikomboa TAEC kutoka kwenye genge hili la Wahujumu Uchumi?

  Nimpongeze mheshimiwa Raisi Mama Samia Suluhu Hasani,makamu wa Raisi Mheshimiwa Docta Isdori Mpango na waziri mkuu Mheshimiwa Majaliwa Kasim Majaaliwa kwa kazi nzuri wanayofanya ya kujenga nchi kwa kuendeleza mambo mazuri ya awamu ya tano na kubuni mambo mapya mazuri na makubwa ndani ya awamu...
 8. Guselya Ngwandu

  Rais Samia amwagiwa sifa kwenye Bunge la Ulaya

  Moja kati ya mijadala iliyojadiliwa kwenye Bunge la Ulaya ni hali ya Tanzania hususan katika eneo la Demokrasia. Mbunge wa Bunge hilo David McAllister alionekana kupotosha Bunge hilo kwa makusudi baada ya kueleza mambo ambayo alionekana hana ufahamu nayo. David McAllister, alipotosha kwamba...
 9. Redpanther

  Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course

  Habari za Jioni hii ndugu WanaJf wenzangu. Natumaini mko poua kabisa na mko katika mapumziko baada ya kazi za siku nzima. Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja. Niko katika Njia panda sijui nichukue kipi kati ya hizi course. Kwa ufupi mimi nimwajiriwa kwenye shirika la umma ambaye nimesomea...
 10. M

  Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

  Soma mwenyewe
 11. Miss Zomboko

  Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

  Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
 12. VUTA-NKUVUTE

  Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

  Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
 13. ommytk

  Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

  tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
 14. sky soldier

  Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

  Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa. Mambo ya huku bara lazima...
 15. Vicenza

  Nilichokiona jana kwenye daladala ya kwa Morombo-Arusha

  Habari za saa wana Jf, Jana majira ya saa moja usiku nilipanda daladala ya kwenda kwa moromboo,wenyeji wa arusha bac mtakuwa mnaelewa huu mtaa kwa sifa za matukio mengi ya wizi kwenye daladala na hata mtaani,na waathirika wengi wa haya matukio ni kina mama na wadada ndio wanakuwa wa hanga...
 16. Analogia Malenga

  TBS: Wanaoongeza maji kwenye maziwa waonywa, kufanya hivyo ni kinyume cha sheria

  KAIMU Mkuu wa Kitengo Cha Uthibiti Ubora wa Shirika la Viwango nchini (TBS) Baraka Mbajige amewaonya wafugaji na wauzaji wa maziwa kuacha tabia ya kuweka maji kwa sababu ni kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mafunzo ya siku mbili yaliyoandaliwa na TBS kwa wafugaji wa Wilaya ya...
 17. Sandali Ali

  Utajisikiaje kwenye msiba wako TISS wakisema kuwa ulikuwa mtumishi wao na wanauheshimu mchango wako? Kumbe umesotea ajira zao na hukupata.

  Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye...
 18. Huihui2

  Hatuwezi kutatua tatizo la sukari bila kusahihisha makosa ya Hayati Magufuli kwenye sekta hii mwaka 2016

  Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga. Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania. Mwaka 1980-85...
 19. Sky Eclat

  Ukikuta hela kwenye mifuko ya suruali wengi tunazichukulia ni ujira wa kazi ya dobi

  Wakina kaka wanahamaki wanapokumbuka pesa zao kwenye mifuko ya suruali. Zile pesa huwa tunabadilishia menu nyumbani na kujilipa kwa kazi ya udobi. Mbona mna kuwa wapole tunapokuta condoms mifukoni?
 20. The Garang

  Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU.

  Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki. Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla. Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi...
Top Bottom