kiwanda cha sukari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mtatifikolo: Mkinichagua nitatafuta wawekezaji wajenge kiwanda cha sukari kata ya Mlenge

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni katika Kata ya Mlenge ambapo amewaahidi wananchi wa Kata hiyo kuwa endapo wakipiga kura za ndiyo na kuchagua Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika Juni Mosi, 2026 atatafuta Wawekezaji kwaajili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kiwanda cha Sukari Mtibwa-Mvomero-Morogoro

    Salaam Wanajamiiforum! Ndugu Wanajamii forum,bila kupoteza muda naomba kuuliza Nina ndugu yangu anataka kwenda kuomba kazi ya shambani Mtibwa(Kama kibarua),sasa kaja kwangu kuuliza kuwa msimu unaanza lini na unaisha lini. Jibu nikawa sina,hivyo nimekuja kwenu kuomba anayejua aniambie na...
  3. M

  4. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania TPC yatumia Bilioni 1.5 kila mwaka kusaidia shughuli za kijamii ikiwamo elimu

    KIWANDA cha sukari cha TPC kilichopo mkoani Kilimanjaro,kinatumia kiasi cha sh Bilioni 1.5 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia shughuli za kijamii kwa wananchi wanaoishi kuzunguka kiwanda hicho katika wilaya za moshi vijijini na Simanjiro mkoani Manyara. Sehemu ya fedha hizo zinakwenda katika...
Back
Top Bottom