kin'asti

  1. MziziMkavu

    Mwanamke aliye mnyang'anya bunduki ilaha apewa laki 5 zawadi

    Mwanamke aliyepambana na jambazi na kufanikiwa kumnyang’anya bunduki aina ya SMG, Sophia Manguye (46), amepewa zawadi ya Sh 500,000 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu Tarime/Rorya, Gemini Mushy. Je unadhani zawadi hii imeendana na kazi aliyofanya Mama huyu