• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

kenya news

  1. C

    Kenya Airways yakataliwa usimamizi wa JKIA

    Mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege ya Kenya (KAA) imetupilia mbali ombi la shirika la ndege la kenya (KQ) kupewa usimamizi wa viwanja vya ndege nchini humo kwa kusema shirika hilo halina fedha wala ujuzi wa kazi wanayoiomba na pia linaelemewa na madeni yanayoathiri utendaji kazi wake...
Top