kaniacha ghafla

  1. S

    Kaniacha ghafla, nimechoka na mahusiano nimeamua kuwa single

    Habari wandugu, Leo ni siku iko tofauti si kidogo, imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenzi wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za simu na kaujumbe kakuachwa kenye maneno mafupi just simply. NIMECHOKA NA MAHUSIANO NIMEAMUA KUWA SINGLE Madada wa Arusha mbona changamoto...