joselela

  1. SANCTUS ANACLETUS

    Wanaopinga kuungama dhambi kwa Padri, ndio wapinga Kristo wanaohubiriwa na wasabato na ndio wale wanaosoma maandiko kwa kurukaruka.

    Ninakiri kwamba nimekutana na uzi wa mwana-JF, “King Mufasa” leo ukihoji uaminifu walio nao mapadri wa Kanisa Katoliki,mintarafu utunzaji wa siri za mambo yanayojiri wakati sakramenti ya Upatanisho. Kimsingi ukisoma katikati ya mistari ya mtoa uzi, utagundua kwamba mtoa mada ni Mkatoliki...
Top