joomla


  1. STORIKA STUDIO

    Clarity.com Idea

    Habari , Dev. Kama title linavyojieleza . Nina idea ya kufanya kitu kama hicho kwa tz. Natafuta team ya kufanya nayo hiyo project. Au nahitaji advice ya kideveloper au namna ya kupata similar theme . Nawakilisha kwa hayo machache. Karibuni wataalamu.
  2. CodeX

    SOFTWARE Tunatengeneza mifumo ya IT

    :*TUNATENGENEZA MIFUMO YA IT** -INVENTORY SYSTEM (Kwa mauzo ya bidhaa za Dukani na Supermarket) -CUSTOMER MANAGEMENT -ANDROID APPLICATIONS -SCHOOL INFORMATION SYSTEM -WEB SYSTEMS -MOBILE APPLICATIONS -JOOMLA SITES -WORDPRESS WEBSITES -DRUPAL WEBSITES Na system zinginezoo : KWA BEI...
Top