j.makamba ziarani

  1. kinguo

    Yuko wapi kijana mtanashati January Makamba?

    Wakuu poleni na majukukumu ya kulizungusha tairi la maendeleo. Nakuja mbele yenu nikitaka kujua huyu kijana mwenzetu kwenye siasa za nchi hii. Maana amekuwa kimya sana hata zile twit zake hatuzioni kwa kasi hii ya mzee wetu kipenzi hapa kasi tu. Ni kipi kimemsibu na kuwa kimya hivi...