janaba


  1. N

    Yanayoharamishwa kwa mwenye janaba

    1. Kuswali: Kwa neno lake Aliyetukuka: {Enyi mlioamini! Msikaribie Swala hali mmelewa, mpaka myajue mnayo sema, wala hali mna janaba isipo kuwa mmo safarini mpaka muoge}.[ Al-Nisaa 43] 2. Kuitufu Nyumba Tukufu (Alkaba): Kwa neno lake Mtume ﷺ: (Kutufu Alkaba ni kama kuswali) [ Imepokewa na...
Top