intellectuals

  1. Kessy Wa Kilimanjaro

    Uchawi: Nchi zenye IQ ndogo Africa na imani zinazotokana na ujinga

    Ukweli ni kwamba akili ni uhuru kutoka kwenye vifungo vya ujinga na imani za uongo. Nilikuwa nikisikia hadithi nyingi utotoni kuhusu wanga na majini na wachawi wengi tu. Kama umekulia movie za wa Nigeria, unajua jinsi hizi filamu zinavyo endekeza hizi imani. Hata mitandao ya habari ya nchi za...