inna

  1. Relief Mirzska

    Uwe "Rafiki" yangu pekee na mimi niwe "Rafiki" yako pekee

    Inakaribia saa saba kasoro za usiku, kuwaza na kuwazua ikabidi nipige tu simu. Simu ikaitaa, ikaitaa, ikaita mpaka ikakata. Ohhh! Itakuwa kashalala, dakika mbili mbele simu yangu ikawa inaita, kuangalia ni "rafiki" anapiga, kupokea tu, kwa sauti nyororo sana akaita "rafiki"...... nlipoitikia...
Top Bottom