• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

hugeemson

  1. HugeEmson

    Hodi Humu

    Nadhan jina langu sio la mihmu humu.. Ila ni mgeni na ningependa kujitambulisha...Mimi ni mfanya biashara anayejishughulisha na SEO, Digital makerting na Lead Generation. Nadhan, ntakuwa nashare ujuiz wa hapa na pale humu JF na nje ya JF kwa wale watakao hitaji kujifunza kuhusiana na mada...
Top