gesi ya majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  2. J

    Waziri Kalemani atoa siku 14 bei ya gesi ya majumbani iwe imeshuka

    Waziri wa nishati Dr Kalemani ameitaka Ewura kuhakikisha bei ya gesi ya majumbani inashuka ndani ya siku 14 kuanzia leo. --- CHATO. Waziri wa Nishati nchini Tanzania Dkt. Medard Kalemani amemuagiza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) nchini kuhakikisha anashughulikia...
  3. J

    Serikali yashangaa gesi ya kupikia kupanda bei, yataka viwanda vieleze sababu ya ongezeko hilo

    Serikali imesema viwanda vya gesi ya kupikia havijafata utaratibu katika kupandisha bei hivyo bei mpya hazitambuliki. Afisa wa Ewura mr Kaguo amesema viwanda vya gesi vimetakiwa vipeleke vigezo vya kupandisha bei na serikali ama itavibariki na kukubali bei mpya ama itavikataa kama havijitoshelezi.
Back
Top Bottom