freerosemboma #achawoga2020

  1. Daraja Makofia

    Mbeya: Rose Mboma akamatwa na Polisi kwa kusambaza picha zenye Ujumbe "Nitamchagua Membe 2020"

    "ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa fulana nyeusi yenye maandishi "NITAMCHAGUA MEMBE 2020" na amezuiwa dhamana. Rose hajala toka...
Top