free youtube downloader

  1. baraka607

    Jifunze hatua kwa hatua; Namna ya kushusha video za Youtube bure

    Habari wakuu, nimeona niandike kifupi njia ambazo huwa nazitumia kupata video/Sauti(audio za youtube). Nitajaribu kuelezea njia mbalimbali hasa extensions, kutumia softwares au sites ambazo utaweka link kisha zenyewe zitakusaidia. EXTENSIONS Njia nayotumia muda mrefu na rahisi, hii ni kwa...