frank frain


  1. MixedFrank

    Affiliate Marketing Ni Nini?: Njia Nayotumia Kutengenza Pesa Mtandaoni Mbali na Dropshipping

    Moja ya njia/ namna ya kutengeneza pesa pesa mtandaoni nnaotumia ni Affiliate Marketing, na ina nguvu kuliko mtu anavyoweza kufikiri.... Sio kila mtu anaweza kumudu kuwa na store, na najua wengi wameanza kutafuta riziki ao kwa kuanza kutengeneza blog ili baadae waje waweke maangazo ya Adsense...
  2. MixedFrank

    Kwanini niliacha Kuwasikiliza Motivational Speakers

    Hello wana JF! Leo nimetaka kugusia kwanini sipendi kusikia habari za motivational speakers tukija kwenye maswala ya biashara. Mimi ni blogger na nina miliki dropshpping store tatu mtandaoni na hizi ndizo source kubwa za income kwangu, soko linazidi kupanuka na ninamshukuru Mungu kwa...
Top