feni kutoka china

  1. Michael Ngusa

    Feni za Dar: tungejua heri tungeuzwa mikoani!

    Feni kutoka Japani: "dah, aaa hapa kweli kazi tu! 24/7, hawanizimi hata nusu saa nivute pumzi!...wakati mwingine najipigisha vikelele angalau waone ninaharibika lakini wapi!" Feni from China: "afadhali yako wewe wa Japan ni original, mziki wa masaa ishirini na nne unauweza! mwenzio ninachemka...