faizafoxy

  1. O

    Debate challenge: Mgogoro wa Hamas na Israeli

    Pamoja na uwepo wa mdahalo kati yao, mdahalo huo haukuwa na topic maalum isipokuwa aina ya majigambo. Sasa basi huu ni mdahalo wa wiki nzima kwanzia leo Jumapili mpaka Jumapili ijayo tutakapopata mshindi wetu. Nyani Ngabu na FaizaFoxy karibuni katika mdahalo huku tukisubiri ule wa makonda...
  2. FaizaFoxy

    FaizaFoxy: Nasaha na Ushauri wa kijamii usio wa kawaida. Nakaribisha maswali

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kuna uzi mmoja leo kuna mdau kanishauri nianzishe uzi wa nasaha na ushauri kuhusu jamii hususan ya mahusiano. Nimelipenda wazo lake na nimefungua huu uzi ambao utajumuisha nasaha zote za kijamii kadri itavowezekana, uwe kwa vijana, watoto au watu wazima...
  3. FaizaFoxy

    Ushauri wa kiuchumi kuhusu Dhahabu yetu kwa Serikali ya Tanzania

    Ipitishwe sheria bungeni, dhahabu yetu yote, inayochimbwa na wachimbaji wadogo na wakubwa inunuliwe na BOT, kitengo cha hazina ya Taifa. Na wao pekee ndiyo watakaoiuza ndani na nje ya Tanzania. Hii ni wepesi sana kuhakikisha hatukaukiwi na fedha za kigeni na tunadhamana ya kutosha kukopa kwa...
  4. FaizaFoxy

    Tafakuri ya FaizaFoxy 8; Ni nini maana ya "Mahaba" (Love)?

    Nimepata tabu kiasi kupata maana halisi ya neno"mapenzi" nikaishia na neno mahaba. Tabu niliyoipata ni katika kuchaguwa namna ya kuiweka sentensi ili ifahamike, kila nilipojaribu neno, nikaona halijakaa sawa, nimejaribu maneno penzi, mapenzi, pendo, upendo nakupenda, sikupendi na kadhalika...
  5. FaizaFoxy

    Leo FaizaFoxy najivika rasmi joho la upinzani tena CHADEMA

    Leo najivika rasmi joho la upinzani, tena, naanza kujifikiria kama chadema. Tuchukulie imetimia 2025 Kama mwanachadema ambae nagombea ubunge au hata Urais, nafikiri sera zangu zitakuwa nini? 1) Nchi imeuzwa. Wapiga kura wakitazama wanaona nchi ipo mipaka ile ile tena Bashe huko CCM BBT...
  6. Bibititi1

    Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

    Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi. Kukua kwa mzunguko wa fedha Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa...
  7. Singidan

    Faizafoxy tunaomba mrejesho kutoka Vitendo Saccos

    Habari wana JF!! Mwanzon mwa 2017 aliibuka mwanamama aliyeanzisha uzi Hapa kuhusu VITENDO SACCOS. Mambo mengi yaliendelea na updates nyingi kuonesha kuwa mradi wao Ulikuwa Uko vp!! Mmoja wa wadau Maarufu humu ambaye alionekana kuunga mkono na kuanza kushiriki Ni FaizaFoxy. Sasa Mimi Kama...
  8. Waterbender

    Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  9. sychellis

    Mchumba kakataa kuongea na mimi kwenye simu aliyopelekewa na mama yangu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona huyo binti, jamani ni mzuri balaa. Yeye baba ni Mzanzibar na mama...
  10. N

    Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

    Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
  11. M

    Inawezekana Uislamu ulianzia Petra Jordan na sio Mecca Saudi Arabia

    Interesting documentary worth seeing.
  12. Amafita

    Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

    Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI. Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
  13. Jesuitdon

    Vatican inamiliki dunia

    KWANZA UKISOMA KWA PC AU COMPUTER NYINGINE IPO BORA KULIKO KWA SIMU Fanya Research yeyote ya underground utagundua All Roads lead to Rome Vatican. Diplomatic roads .Nk Kati ya vitu vilivyo wahi nishangaza kuhusa kanisa Katoliki ni uwepo wa hawa Masister wenye DOWNS SYNDROME sijawahi ona dini...
Back
Top Bottom