fact19

  1. Fact19

    UNI CASH FLOW: Ondokana na Mentality ya Ugumu wa Maisha(~Kwa Wafanyabiashara, Wajasiriamali na Watanzania Wenzangu)

    Habari wakuu! Hivi karibuni, nikiongelea miaka kadhaa nyuma, kuna hali mpya ambayo imetutembelea, hali ambayo inajaribu kuishi na sisi, ikitufunga akili, kutunyima furaha na kadri siku zinavyozidi kusonga, hali hii inazidi kuwa na mashiko kaika jamii zetu. Kwa maneno macache ambayo, kama wimbo...
Top