ezdan

  1. E

    Jinsi ya kuhama kozi UDOM

    Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!! Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi?.... Naomben msaada
Top