• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

elimujanja

  1. Greataziz

    Mwambie mdogo wako anaenda shule kusomea taaluma sio kazi, anaweza kusoma uhasibu akawa dobi

    ⌚📦MWAMBIE MDOGO WAKO ANAEKWENDA CHUO 1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi. 2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha. 3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi. 4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji...
  2. southern boy

    Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    Habari humu!! Hi post pia nimeiwekena kule kwenye jukwaa la technology sababu pia inahusu masula ya technology. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na...
Top