@demiss

 1. princemikazo

  Ewe Mwanamke Unaye-cheat

  Habarini za uzima enyi raia za umu ndichi...Naam kumekua na wimbi la ma'manzi shazi kutu-cheat sisi machalii,Hakuna kitu kinauma kaa mamiloo wako kabisa kuku-cheat hadi unajiuliza kwangu anakosa nini asee?.Hakyanani moyo wangu husinyaa na kunung'unika kwa manyanyaso na mateso,,Sasa mimi...
 2. princemikazo

  Forbes: Wanamuziki 10 matajiri Afrika 2019

  Jarida la Forbes la nchini Marekani limetoa orodha ya Wanamuziki Kumi(10)Matajiri zaidi Afrika,Nigeria yaongoza. 10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3 9: Jidenna,Nigeria billion 2.3 8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu) 7...
 3. princemikazo

  Happy Birthday Millard Ayo

  Leo Tarehe 26 January Miaka kadhaa nyuma Alizaliwa Home boy maeneo ya Usa River Arusha, Millard Ayo,Mr.Count down Dam dam milele Mwenye sauti yake na Warembo wake wa nguvu aka Mzee wa Madem(in Emphraim Kibonde's voice),,Happy birthday Home boy@Millardayo Wish you nothing but success in...
Top