daudi1

  1. presider

    JIRANI TAM TAMUU

    Kawaida mjini ni mipango na kila mtu anaishi mjini kwa mahesabu yake anayoona yako sahihi,, Nilipotimiza miaka 19 nilitamani kuoa kwa kuwa niliamini ili kupata mafanikio zaidi ni lazima niowe ila msichana niliyewazia kumuoa alikuwa ni binti mwenye elimu yake ili niweze kumpatia japo kamtaji...
Top Bottom