dar es salaamu

  1. Michael Ngusa

    Nimeamua kujiajiri ila natafuta kazi ya aina hii kwasababu hii

    Habari ndugu zangu, Mie nimetumikia industry ya Media upande wa Printing, Design, Social Media Management na Video Production kwa miaka 3 sasa. Nimeamua kujiajiri kwa kuwa na kampuni ya Web Design & Development, kazi ambayo inahitaji Laptop yangu tu na ninaweza kuifanyia nyumbani. Changamoto...