commedy

  1. Slowly

    Siwajui majina Yao Ila nafkri hii ndo commedy Bora kabisa Kwa Afrika Kwa sasa

    Hawa jamaa ni amsha, ni kwere, ubunifu wa Hali ya juu, sifurahii camera wanayotumia Ila action zao ni za kiwango cha standard gauge. Kitu Kingine kizuri kwao, ni kuwa hawatumii sauti , na hii inafanya mtu yeyote duniani anaweza kuwaelewa ,...wabongo tunakwama wapi aisee, jamaa naona wanazidi...
  2. Gily Gru

    Vionjo vya kuvunja mbavu kutoka kwenye movies

    Napendelea sana kuangalia movie na series za commedy na baadhi ya series commedy nashauri wapenda commedy wenzangu waziangalie (hapa nitataja kumi bora tu) 1. Friends 2. Seinfeld 3. The Big Bang Theory 4. Fraiser 5. Cheers 6. Malcolm in the middle 7. Scrubs 8. Boy Meets World 9. Brooklyn Nine...
Back
Top Bottom